Job 12:7-9
7 a“Lakini ulizeni wanyama, nao watawafundisha,
au ndege wa angani, nao watawaambia;
8au zungumzeni na dunia, nayo itawafundisha,
au acheni samaki wa baharini wawape taarifa.
9 bNi nani miongoni mwa hawa wote asiyejua
kwamba mkono wa Bwana ndio uliofanya hili?
Copyright information for
SwhNEN