Job 11:7-9
7 a“Je, waweza kujua siri za Mungu?
Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi?
8 bNi juu mno kuliko mbingu: waweza kufanya nini?
Kina chake ni kirefu kuliko kuzimu:
wewe waweza kujua nini?
9 cKipimo chake ni kirefu kuliko dunia,
nacho ni kipana kuliko bahari.
Copyright information for
SwhNEN