‏ Job 1:1

(Ayubu 1–2)

Ayubu Na Jamaa Yake

1 aKatika nchi ya Usi paliishi mtu ambaye aliitwa Ayubu. Mtu huyu alikuwa hana hatia, naye alikuwa mkamilifu; alimcha Mungu na kuepukana na uovu.
Copyright information for SwhNEN