‏ Jeremiah 8:19

19 aSikia kilio cha watu wangu
kutoka nchi ya mbali:
“Je, Bwana hayuko Sayuni?
Je, Mfalme wake hayuko tena huko?”

“Kwa nini wamenikasirisha kwa vinyago vyao,
kwa sanamu zao za kigeni zisizofaa?”
Copyright information for SwhNEN