‏ Jeremiah 51:13

13 aWewe uishiye kando ya maji mengi
na uliye na wingi wa hazina,
mwisho wako umekuja,
wakati wako wa kukatiliwa mbali.
Copyright information for SwhNEN