Jeremiah 51:11
11
“Noeni mishale,
chukueni ngao!
Bwana
amewaamsha wafalme wa Wamedi,
kwa sababu nia yake ni kuangamiza Babeli.
Bwana
atalipiza kisasi,
kisasi kwa ajili ya Hekalu lake.
Copyright information for
SwhNEN