‏ Jeremiah 50:5

5 aWataiuliza njia iendayo Sayuni
na kuelekeza nyuso zao huko.
Watakuja na kuambatana na Bwana
katika agano la milele
ambalo halitasahaulika.
Copyright information for SwhNEN