‏ Jeremiah 50:43

43 aMfalme wa Babeli amesikia habari kuwahusu,
nayo mikono yake imelegea.
Uchungu umemshika,
maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa.
Copyright information for SwhNEN