‏ Jeremiah 50:40

40 aKama vile Mungu alivyoangamiza Sodoma na Gomora
pamoja na miji iliyokuwa jirani nayo,”
asema Bwana,
“vivyo hivyo hakuna mtu yeyote
atakayeishi humo.
Naam, hakuna mtu yeyote
atakayekaa humo.
Copyright information for SwhNEN