‏ Jeremiah 50:39


39 a“Kwa hiyo, viumbe vya jangwani na fisi wataishi humo,
nao bundi watakaa humo.
Kamwe haitakaliwa tena
wala watu hawataishi humo kutoka kizazi hadi kizazi.
Copyright information for SwhNEN