‏ Jeremiah 50:28

28 aWasikilizeni watoro na wakimbizi kutoka Babeli
wakitangaza katika Sayuni
jinsi Bwana, Mungu wetu alivyolipiza kisasi,
kisasi kwa ajili ya Hekalu lake.
Copyright information for SwhNEN