‏ Jeremiah 49:21

21 aKwa sauti ya anguko lao, dunia itatetemeka.
Kilio chao kitasikika hadi Bahari ya Shamu.
Kwa Kiebrania ni Bahari ya Mafunjo.

Copyright information for SwhNEN