Jeremiah 48:3-5
3Sikiliza kilio kutoka Horonaimu,kilio cha maangamizi makuu na uharibifu.
4Moabu utavunjwa,
wadogo wake watapiga kelele.
5 aWanapanda kwenda njia ya kuelekea Luhithi,
wakilia kwa uchungu wanapotembea,
kwenye njia inayoshuka kwenda Horonaimu,
kilio cha uchungu kwa ajili ya uharibifu kinasikika.
Copyright information for
SwhNEN