‏ Jeremiah 48:15

15 aMoabu ataangamizwa na miji yake itavamiwa,
vijana wake waume walio bora sana watachinjwa,”
asema Mfalme, ambaye jina lake
ni Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote.
Copyright information for SwhNEN