‏ Jeremiah 44:24

24 aKisha Yeremia akawaambia watu wote, pamoja na wanawake, “Sikieni neno la Bwana, enyi watu wote wa Yuda mlioko Misri.
Copyright information for SwhNEN