Jeremiah 4:31
31 aNasikia kilio kama cha mwanamke
katika utungu wa kuzaa,
kilio cha uchungu kama cha anayemzaa
mtoto wake wa kwanza:
kilio cha Binti Sayuni akitweta ili aweze kupumua,
akiinua mikono yake, akisema,
“Ole wangu! Ninazimia;
maisha yangu yamekabidhiwa kwa wauaji.”
Copyright information for
SwhNEN