‏ Jeremiah 4:2

2 aikiwa kwa kweli, kwa haki na kwa unyofu utaapa,
‘Kwa hakika kama vile Bwana aishivyo,’
ndipo mataifa yatakapobarikiwa naye
na katika yeye watajitukuza.”

Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.