‏ Jeremiah 4:14

14 aEe Yerusalemu, usafishe uovu kutoka moyoni mwako na uokolewe.
Utaendelea kuficha mawazo mapotovu mpaka lini?

Copyright information for SwhNEN