Jeremiah 39:11-12
11Basi, Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa ametoa maagizo kuhusu Yeremia kupitia Nebuzaradani kiongozi wa walinzi wa mfalme akisema: 12 a“Mchukue umtunze. Usimdhuru, lakini umfanyie chochote anachotaka.”
Copyright information for
SwhNEN