‏ Jeremiah 34:20

20 anitawatia mikononi mwa adui zao wanaotafuta uhai wao. Maiti zao zitakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa nchi.

Copyright information for SwhNEN