‏ Jeremiah 32:39

39 aNitawapa moyo mmoja na kutenda pamoja, ili kwamba waniche daima kwa mema yao wenyewe na kwa mema ya watoto wao baada yao.
Copyright information for SwhNEN