‏ Jeremiah 31:16

16 aHili ndilo asemalo Bwana:

“Izuie sauti yako kulia,
na macho yako yasitoe machozi,
kwa kuwa kazi yako itapata thawabu,”
asema Bwana.
“Watarudi kutoka nchi ya adui.
Copyright information for SwhNEN