‏ Jeremiah 30:7

7 aTazama jinsi ile siku itakavyokuwa ya kutisha!
Hakutakuwa na nyingine mfano wake.
Utakuwa wakati wa dhiki kwa Yakobo,
lakini ataokolewa kutoka hiyo.
Copyright information for SwhNEN