‏ Jeremiah 30:24

24 aHasira kali ya Bwana haitarudi nyuma
mpaka atakapotimiza makusudi yote ya moyo wake.
Siku zijazo
mtayaelewa haya.
Copyright information for SwhNEN