‏ Jeremiah 30:11

11 aMimi niko pamoja nawe, nami nitakuokoa,’
asema Bwana.
‘Ingawa nitayaangamiza kabisa mataifa yote
ambamo miongoni mwao nimewatawanya,
sitawaangamiza ninyi kabisa.
Nitawaadhibu, lakini kwa haki.
Sitawaacha kabisa bila adhabu.’
Copyright information for SwhNEN