‏ Jeremiah 3:25

25 aSisi na tulale chini katika aibu yetu,
na fedheha yetu itufunike.
Tumetenda dhambi dhidi ya Bwana Mungu wetu,
sisi na mababa zetu;
tangu ujana wetu hadi leo
hatukumtii Bwana Mungu wetu.”
Copyright information for SwhNEN