‏ Jeremiah 3:23

23 aHakika zile ghasia za kuabudu sanamu kwenye vilima
na milimani ni udanganyifu;
hakika katika Bwana, Mungu wetu,
uko wokovu wa Israeli.
Copyright information for SwhNEN