‏ Jeremiah 25:23-24

23 aDedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali; 24 bwafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa;
Copyright information for SwhNEN