‏ Jeremiah 21:14

14 aNitawaadhibu kama istahilivyo matendo yenu,
asema Bwana.
Nitawasha moto katika misitu yenu
ambao utateketeza kila kitu kinachowazunguka.’ ”
Copyright information for SwhNEN