‏ Jeremiah 17:21

21 aHili ndilo asemalo Bwana: Jihadharini msije mkabeba mzigo siku ya Sabato, wala kuingiza mzigo kupitia malango ya Yerusalemu.
Copyright information for SwhNEN