‏ Jeremiah 15:8

8 aNitawafanya wajane wao kuwa wengi
kuliko mchanga wa bahari.
Wakati wa adhuhuri nitamleta mharabu
dhidi ya mama wa vijana wao waume;
kwa ghafula nitaleta juu yao
maumivu makuu na hofu kuu.
Copyright information for SwhNEN