‏ Jeremiah 15:6

6 aUmenikataa mimi,” asema Bwana.
“Unazidi kukengeuka.
Hivyo nitanyoosha mkono wangu juu yako na kukuangamiza,
siwezi kuendelea kukuonea huruma.
Copyright information for SwhNEN