‏ Jeremiah 14:17

17 a“Nena nao neno hili:

“ ‘Macho yangu na yatiririkwe na machozi
usiku na mchana bila kukoma;
kwa kuwa binti yangu aliye bikira, yaani watu wangu,
amepata jeraha baya,
pigo la kuangamiza.
Copyright information for SwhNEN