‏ Jeremiah 12:3

3 aHata hivyo unanijua mimi, Ee Bwana;
unaniona na kuyachunguza mawazo yangu kukuhusu wewe.
Wakokote kama kondoo wanaokwenda kuchinjwa!
Watenge kwa ajili ya siku ya kuchinjwa!
Copyright information for SwhNEN