‏ Jeremiah 10:21

21 aWachungaji hawana akili
wala hawamuulizi Bwana,
hivyo hawastawi
na kundi lao lote la kondoo limetawanyika.
Copyright information for SwhNEN