‏ Jeremiah 1:16

16 aNitatoa hukumu zangu kwa watu wangu
kwa sababu ya uovu wao wa kuniacha mimi,
kwa kufukiza uvumba kwa miungu mingine
na kuabudu kile ambacho mikono yao imekitengeneza.
Copyright information for SwhNEN