‏ James 4:13

Kujivuna Kwa Ajili Ya Kesho

13 aBasi sikilizeni ninyi msemao, “Leo au kesho tutakwenda katika mji huu ama ule tukae humo mwaka mmoja, tufanye biashara na kupata faida.”
Copyright information for SwhNEN