‏ James 1:2-3

Imani Na Hekima

2 aNdugu zangu, hesabuni kuwa ni furaha tupu mnapopatwa na majaribu mbalimbali, 3 bkwa sababu mnajua ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.
Copyright information for SwhNEN