‏ Isaiah 9:2

2 aWatu wanaotembea katika giza
wameona nuru kuu,
wale wanaoishi katika nchi ya uvuli wa mauti,
nuru imewazukia.

Copyright information for SwhNEN