‏ Isaiah 9:14-16

14 aKwa hiyo Bwana atakatilia mbali kutoka Israeli kichwa na mkia,
tawi la mtende na tete katika siku moja.
15 bWazee na watu mashuhuri ndio vichwa,
nao manabii wanaofundisha uongo ndio mkia.
16 cWale wanaowaongoza watu hawa wanawapotosha,
nao wale wanaoongozwa wamepotoka.
Copyright information for SwhNEN