Isaiah 8:12-14
12 a“Usiite fitina kila kitu ambacho watu hawa hukiita fitina,usiogope kile wanachokiogopa,
wala usikihofu.
13 b Bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye peke yake
ikupasaye kumheshimu kuwa mtakatifu,
ndiye peke yake utakayemwogopa,
ndiye peke yake utakayemhofu,
14 cnaye atakuwa mahali patakatifu;
lakini kwa nyumba zote mbili za Israeli atakuwa
jiwe lile linalosababisha watu kujikwaa
na mwamba wa kuwaangusha.
Kwa watu wa Yerusalemu,
atakuwa mtego na tanzi.
Copyright information for
SwhNEN