‏ Isaiah 7:22

22 aKwa ajili ya wingi wa maziwa watakayotoa, atapata jibini ya kula. Wote watakaobakia katika nchi watakula jibini na asali.
Copyright information for SwhNEN