‏ Isaiah 61:11

11 aKwa maana kama vile ardhi ifanyavyo chipukizi kuota,
na bustani isababishavyo mbegu kuota,
ndivyo Bwana Mwenyezi atafanya haki na sifa
zichipuke mbele ya mataifa yote.
Copyright information for SwhNEN