‏ Isaiah 52:11


11 aOndokeni, ondokeni, tokeni huko!
Msiguse kitu chochote kilicho najisi!
Tokeni kati yake mwe safi,
ninyi mchukuao vyombo vya Bwana.
Copyright information for SwhNEN