‏ Isaiah 5:8

Ole Na Hukumu

8 aOle wenu mnaoongeza nyumba baada ya nyumba
na kuunganisha mashamba baada ya mashamba
hadi hakuna nafasi iliyobaki,
nanyi mnaishi peke yenu katika nchi.
Copyright information for SwhNEN