Isaiah 49:8
Kurejezwa Kwa Israeli
8 a bHili ndilo asemalo Bwana:“Wakati wangu uliokubalika nitakujibu,
nami katika siku ya wokovu nitakusaidia;
nitakuhifadhi, nami nitakufanya
kuwa agano kwa ajili ya watu,
ili kurudisha nchi
na kugawanyia urithi tena wale waliokuwa ukiwa,
Copyright information for
SwhNEN