‏ Isaiah 47:3

3 aUchi wako utafunuliwa
na aibu yako itaonekana.
Nitalipa kisasi;
sitamhurumia hata mmoja.”
Copyright information for SwhNEN