‏ Isaiah 45:7

7 aMimi ninaumba nuru na kuhuluku giza,
ninaleta mafanikio na kusababisha maafa.
Mimi, Bwana, huyatenda haya yote.
Copyright information for SwhNEN