Isaiah 44:2
2 aHili ndilo asemalo Bwana,
yeye aliyekuhuluku, aliyekuumba tumboni,
yeye atakayekusaidia:
Usiogope, ee Yakobo, mtumishi wangu,
Yeshuruni, ▼▼Yeshuruni hapa maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli (ona pia
Kum 32:15).
niliyekuchagua.
Copyright information for
SwhNEN