‏ Isaiah 43:25


25 a“Mimi, naam mimi, ndimi nizifutaye dhambi zako,
kwa ajili yangu mwenyewe,
wala sizikumbuki dhambi zako tena.
Copyright information for SwhNEN